Upendo unapimwa kwa kutoa. Mwanaume aliye kamilika kuanzia mwili na akili hawezi kuwa katika mahusiano na mwanamke bila kuwa anampa chochote. Wazo lako kwenye wimbo wako mpya halifai kukaa kichwani mwako wala kichwani wala kichwani kwa mwanaume yoyote rijali wa mwili na akili....
Mwanamke hajaumbwa kupenda. Mwanamke ameumbwa kutii upendo. Hata kwenye bible, Mungu amemwambia mwanaume " Mpende mke wako". Na mwanamke ameambiwa " Mtii mume wako ". So mwanamke anacho kifanya ni kutii upendo wa mume wake. Na upendo unapimwa kwa KUTOA. Hata Mwenyezi Mungu aliupenda ulimwengu ndio maana akamtoa mwanaye wa kipekee kwa ajili ya wanadamu.
SO ACHA KUPOTOSHA WATU.
Naliona anguko lako katika muziki wa Bongo Fleva. Historia inaonyesha Kila msanii aliye jaribu kuimba wimbo unao wadhalilisha wanawake ama wenye maudhui yasiyo wapendeza wanawake alikufa kimuziki..
Mifano Hai:
1. Dudubaya .................... Napenda manundu sipendi vijipu.
2. Noorah......................Hawa mademu sijui vipi.
Mifano ipo mingi sana.
Mwanaume anae jitambua katika wimbo wake wa mapenzi, anatakiwa kutumia maneno kama " I WILL GIVE YOU EVERYTHING YOU WANT"." I WILL TAKE CARE OF YOU" nakadhalika..
ACHA UBOYA
Mimi sio mwanamziki ila naelewa miziki mingi huwa katika lugha za mafumbo, alichoimba pengine sio alichomaanisha, au alikuwa anapeleka ujumbe sehemu fulani, miziki ina maana nyingi. Unakumbuka bhalo alipoimba KAPUNJE? Au shakila alipoimba BUNDUKI HAINA RISASI? Mifano ipo mingi sn
Upendo unapimwa kwa kutoa. Mwanaume aliye kamilika kuanzia mwili na akili hawezi kuwa katika mahusiano na mwanamke bila kuwa anampa chochote. Wazo lako kwenye wimbo wako mpya halifai kukaa kichwani mwako wala kichwani wala kichwani kwa mwanaume yoyote rijali wa mwili na akili....
Mwanamke hajaumbwa kupenda. Mwanamke ameumbwa kutii upendo. Hata kwenye bible, Mungu amemwambia mwanaume " Mpende mke wako". Na mwanamke ameambiwa " Mtii mume wako ". So mwanamke anacho kifanya ni kutii upendo wa mume wake. Na upendo unapimwa kwa KUTOA. Hata Mwenyezi Mungu aliupenda ulimwengu ndio maana akamtoa mwanaye wa kipekee kwa ajili ya wanadamu.
SO ACHA KUPOTOSHA WATU.
Naliona anguko lako katika muziki wa Bongo Fleva. Historia inaonyesha Kila msanii aliye jaribu kuimba wimbo unao wadhalilisha wanawake ama wenye maudhui yasiyo wapendeza wanawake alikufa kimuziki..
Mifano Hai:
1. Dudubaya .................... Napenda manundu sipendi vijipu.
2. Noorah......................Hawa mademu sijui vipi.
Mifano ipo mingi sana.
Mwanaume anae jitambua katika wimbo wake wa mapenzi, anatakiwa kutumia maneno kama " I WILL GIVE YOU EVERYTHING YOU WANT"." I WILL TAKE CARE OF YOU" nakadhalika..
ACHA UBOYA
Na uboya wake jamaa anapush Range kali hapa mjini mkuu[emoji3] [emoji3]Upendo unapimwa kwa kutoa. Mwanaume aliye kamilika kuanzia mwili na akili hawezi kuwa katika mahusiano na mwanamke bila kuwa anampa chochote. Wazo lako kwenye wimbo wako mpya halifai kukaa kichwani mwako wala kichwani wala kichwani kwa mwanaume yoyote rijali wa mwili na akili....
Mwanamke hajaumbwa kupenda. Mwanamke ameumbwa kutii upendo. Hata kwenye bible, Mungu amemwambia mwanaume " Mpende mke wako". Na mwanamke ameambiwa " Mtii mume wako ". So mwanamke anacho kifanya ni kutii upendo wa mume wake. Na upendo unapimwa kwa KUTOA. Hata Mwenyezi Mungu aliupenda ulimwengu ndio maana akamtoa mwanaye wa kipekee kwa ajili ya wanadamu.
SO ACHA KUPOTOSHA WATU.
Naliona anguko lako katika muziki wa Bongo Fleva. Historia inaonyesha Kila msanii aliye jaribu kuimba wimbo unao wadhalilisha wanawake ama wenye maudhui yasiyo wapendeza wanawake alikufa kimuziki..
Mifano Hai:
1. Dudubaya .................... Napenda manundu sipendi vijipu.
2. Noorah......................Hawa mademu sijui vipi.
Mifano ipo mingi sana.
Mwanaume anae jitambua katika wimbo wake wa mapenzi, anatakiwa kutumia maneno kama " I WILL GIVE YOU EVERYTHING YOU WANT"." I WILL TAKE CARE OF YOU" nakadhalika..
ACHA UBOYA
nemo dat quod non habet " No one gives what he dont have" or who dont have cant give..
Badala ya kuwafundisha vijana ubahili wa kutokuhonga, wafundishe watafute hela za kutosha ili wakae vizuri na wanawake zao.
Kuhonga sio uboya. Acheni tuendelee kuhonga... Usimuhonge mwanamke ahalafu unaishi nae vipi? acheni kutufundisha ujinga. Mwisho wa siku, utaenda kwa mganga akupe dawa umpumbaze mkeo asiwe anakuomba hela ya matumizi nyumbani...
Nyimbo kama hizi ndo zinachangia kuenea kwa maambukizi ya ukimwi. we demu wako haumuhongi kwa kugeza wimbo wa mwanafa..watoto wa mjini, wanamhonga, wanakupigia wanakuachia na ngoma...
UmemalizaMbona umejaa povu mkuu, mapenzi ya kweli hayapimwi kwa pesa. Kama kutoa ndio upendo, vip kuhusu maskini wasio na chochote hawana haki yakupenda? Nyie wanawake ndio mlianza kutuita mwanamme suruali, kwani ina TV? Acheni zenyu, pendo hayapimwi kwa pesa ila nyie ndo mnaharibu.
Na uboya wake jamaa anapush Range kali hapa mjini mkuu[emoji3] [emoji3]
Wewe mhongaji usiye boya nahisi unaenda Bombadier eeeeh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha uboya mleta uzi
Sio kwa awamu hii kupigwa mizinga ya ajabu.
Wanawake wamekuwa kama fisi ambae hashibi.
Wanawake haridhiki na anachopewa hata umpe 10milions/week hakawii kukuomba tena kwa kitu cha ajabu sana.
Wanawake wa miaka hii sio wa early 70's, wa sasa mnakera mmetufanya kama kitega uchumi, now hawataki kufanya kazi hata hao wanaofanya kazi mshahara wake ni wa kwake mwenyew hausiki na budget ya familia labda mwanaume hana kazi ya maana..
Wanawake wa sasa wanatembea na migodi yao na kila siku unatema almasi dhahabu Tanzanite, wale wajanja wamekaa tu ndani tena yuko social media all day lakini hiyo siku anaingiza 2M kwenye accounts zake tena kwa kulazimishwa, hii nilishuhudia kwa macho yangu..
Wanaume tujibange kama unataka maendeleo punguza gharama sisizo na maana juu ya mwanamke sio mke wako.