JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,318
- 5,483
Kwanza Mpe Heshima yakeMimi ndiyo maana naamini kuwa mifumo yetu ya kisiasa ndiyo kikwazo cha maendeleo nchi hii.
Huyu MwanaFa ni msanii mkubwa muda mrefu na amekuwa mpenzi mkubwa wa Simba muda mrefu, lakini hawajawahi kufikiria kumpa ugeni rasmi hata katika mechi za kirafiki. Leo hana hata wiki tena kwa cheo cha Unaibu Waziri ndiyo wanaona anafaa kupewa heshma hiyo.
Lini wamewahi kumkumbuka hata mchezaji wa zamani na kumpa heshima hiyo?
Na hii nazungumzia kwa vilabu vyote na tasnia nzima ya sanaa na michezo.
Haujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kwa nini hiyo heshima ya ugeni rasmi hawakuweza kumpa kabla ya nyadhfa ya kisiasa? Na kwa nini mpaka mtu awe na cheo ndiyo tunamuona wa maana?Kwanza Mpe Heshima yake
Hao unao waheshimu wewe Ni Watanzania kama yeye
Hawana Vichwa 2 Wala Mikono 10
Kwenye Simba Nayanga Hakuna Utakaye Mchagua Asiwe katika Hizo Timu
Amealikwa kwakuwa ni Kiongozi kwa sasa
Kaka utatupiga sasa.. next mechi mgeni rasmi utakuwa wewe..!Haujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kwa nini hiyo heshima ya ugeni rasmi hawakuweza kumpa kabla ya nyadhfa ya kisiasa? Na kwa nini mpaka mtu awe na cheo ndiyo tunamuona wa maana?
Kazi kweli siku hiyo asijegeuka akajisahau akawa na midadi ya ushabiki yy sasa hivi ni mheshimiwa sanaNaibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba Vs Vipers SC ya Uganda mchezo utakaochezwa Jumanne Machi 7, 2023 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
MwanaFa ni msanii wa muda wote ninayemkubali katika kizazi cha Bongo Flava. Eleweni mada zinazoletwa mezani, watu mna vichwa vigumu sana.Kaka utatupiga sasa.. next mechi mgeni rasmi utakuwa wewe..!
Mimi sijaanzisha mada. Nimewahi kuyatoa haya maoni mara nyingi tu, leo nimeona huu uzi ni sehemu sahihi ya kukumbushia.Ajabu nini mpaka kuanzisha mada kwa jambo lisilo na tija yoyote kwa Simba.
Kwani wakati mama samia anakamatwa na trafiki barabarani kwa kosa la kuoverspeed ulitegemea leo hao trafiki wangemsafishia njia?Mimi ndiyo maana naamini kuwa mifumo yetu ya kisiasa ndiyo kikwazo cha maendeleo nchi hii.
Huyu MwanaFa ni msanii mkubwa muda mrefu na amekuwa mpenzi mkubwa wa Simba muda mrefu, lakini hawajawahi kufikiria kumpa ugeni rasmi hata katika mechi za kirafiki. Leo hana hata wiki tena kwa cheo cha Unaibu Waziri ndiyo wanaona anafaa kupewa heshma hiyo.
Lini wamewahi kumkumbuka hata mchezaji wa zamani na kumpa heshima hiyo?
Na hii nazungumzia kwa vilabu vyote na tasnia nzima ya sanaa na michezo.
Kwani wakati mama samia anakamatwa na trafiki barabarani kwa kosa la kuoverspeed ulitegemea leo hao trafiki wangemsafishia njia?
Bro dhamana na thamani ni kwenye vyeo ndugu.
Swali dogo tu ni kua ili uwe mgeni rasmi wa mpira inabidi uwe na sifa Gani? Maarufu? Mwanasiasa? Etc?MwanaFa ni msanii wa muda wote ninayemkubali katika kizazi cha Bongo Flava. Eleweni mada zinazoletwa mezani, watu mna vichwa vigumu sana.
Nadhani yoyote anaweza kupewa heshima hiyo ingawa inaonekana wanaopewa ni wanasiasa. Ningependa kuona wengine ikiwemo wachezaji au watendaji wa zamani waliowahi kuitumikia club wakipewa heshima hiyo.Swali dogo tu ni kua ili uwe mgeni rasmi wa mpira inabidi uwe na sifa Gani? Maarufu? Mwanasiasa? Etc?