Wakati ukifika utawajibika kuoa au kuolewa na ukiwa umebahatika,bado nipo nipo kwanza nadhani atakuwa ameitunga mahsusi aidha kwa kuwastopisha madowezi wasimfuatilie maana alikuwa na mwandani wake au katunga ili kujiingizia kipato maana kila mtu ana mbinu zake na kweli wimbo uliuza. Hongera kwake!
AY kama ni kweli yasemwayo ajindae na yaliyomkuta yuleee mtoto wa aliyekuwa waziri ambaye mtalaka wake kaolewa te na juzi kati hapa.
Akasilimu na kuitwa Abdulkareem...