Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.
"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na kuhusu ahadi ya nini kama serikali tutafanya endapo Simba atabeba ubingwa itatangazwa baada ya mchezo huu."
Mwana FA amesema "ukatilli" wao (Simba SC) ndio utajiri wao katika mechi hiyo ya fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kiongozi huyo ambaye ameambatana na timu alisema amewaeleza wachezaji umuhimu wa mechi hiyo na 'kiu' ya Watanzania katika kulihitaji kombe hilo.

Kuna watanzania wengi Tu kwenye kikosi, Mohamed Hussein,shomari kapime, kibu, Abdullazack Hamza, kina Barua, Awesu, kagoma, Mzamiru, zaidi ya nusu kwenye kikosi ni watanzania.
Thinking negatively is too bad that it derail you from seeing the truth.
Tukichukua kombe tutaimbwa ni watanzania and not otherwise!!