Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
<br />
<br />
umetakiwa uje jf ukanushe aliyosema sugu siyo kutafuta watu na kuwaita kwenye radio 'yako' na kuwalazimisha utakavyo wewe
HUO NI WOGA NA UNAFIKI kama sugu mwongo njo jamvini jieleze
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Clouds fm kwangu sio credible source. Na huyu unayemzungumzia ni mwanafalsafa ya nini coz nimesoma falsafa za Hart, Cicero, John Austin,St. Thomas Aquinas na wengine wengi, Sasa huyu aliyemjibu Sugu ni nani sijawai kusoma falsafa zake.
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
<br />
<br />
Ila mbona wakati anaojiwa Radio Frence ya kiswahili alimuunga mkono Mh Sugu iweje leo kupitia Cloudz ndo aanze kupepeta maneno. So hana jipya mpotezee.
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Hivi mwanafalsafa si ndio yule alieimba kwamba yupo yupo hawezi kuoa labda kuolewa?, kwanza huyu sio saizi ya Sugu kimawazo wala kimtazamo!, ni wale ambao masanja mkandamizaji anawaita kwamba sio wanaume bali ni "wakiume".