Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

Afungiwe kwa kosa gani?
1. Yule goalkeeper wa JKT RUVU alionyesha tangu mwanzo dalili za kujiangusha kila mara ili kupoteza muda. Inaonekana lengo la JKT Ruvu lilikuwa ni kutafuta sare na sio ushindi.
2. Lile lilikuwa ni shambulizi, goalkeeper alitoka akaupanchi mpira, akaanguka wakati mpira ukiendelea. Hivyo ilikuwa move lazima ikamilike kwanza
3. Mbona baada ya kujiangusha, akafungwa, akapewa ile kadi ya njano, mbona hakujiangusha tena?
4. Janja yake ya kupoteza muda kwa kujiangusha ilishtukiwa
 
Simba wamebebwa sana JKT wapewe ushindi
 
Makipa wa Tanzania wanakera na tabia yao ya kujiangusha makusudi ili kupoteza muda.

Hii imepelelea kutokuwepo issue za fair play kwa kuwa wao hawako fair.

Simba ndiyo walikuwa na mpira, na uamuzi wa kuutoa nje ulikuwa wao
... ILA kwa tabia hizi za makipa bora hawakucheza hiyo fair play.
Umeongea ukweli tupu na kuthibitisha hilo golikipa huyo baada ya kufungwa hakuanguka tena mpaka mpira unaisha hiyo ndo dawa yao
 
Simba mishahara laki tatu... Gate collection inatosha
Kwa mujibu wa hesabu zako wanajitegemea kwani mapato hayazidi matumizi. Na kwa mantiki hiyo ndio maana hawajidhalilishi na kumpigia mwanadamu magoti.Ni udhalili na utumwa kupiga magoti ili upate favours au ufadhiliwe.
 
Back
Top Bottom