Mwamposa Live | Special Thread

Kwahiyo issue ni Mwamposa tu au hata kanisa katoliki wanauza rozari walipe kodi?
 
This is Spiritual
 
Kwahiyo issue ni Mwamposa tu au hata kanisa katoliki wanauza rozari walipe kodi?
Wote walipe kodi, wengi wanafanya biashara kwa kichaka cha dini.

Tunakoelekea sasa wachungaji watahamishia maduka yao kanisani, watauza chumvi, sabuni, mchele, unga, mafuta, na vinginevyo kwa mgongo wa huduma.
 
This is Spiritual
Pesa inatafuta nini kwenye mambo ya kiroho???? Acheni kusindikiza watu kwenye Utajiri kwa mgongo wa huduma za kijanja janja.

Tunakoelekea maduka yatahamia kanisani, wachungaji watauza mchele, unga, sabuni, mafuta n.k kwa mgongo wa dini.

Serikali iingilie kati mapema kama makanisa yameamua kuuza bidhaa yalipe kodi, hizo habari za kutibu watajua muuzaji na mnunuaji ila serikali ichukue kodi.
 
"Ukiitwa kufanya Kazi ya Mungu, unakua na uwezo wa kusolve case zote" Mtume Mwamposa

Yasiyowezekana kwà wanadamu, kwà Mungu yanawezekana

Sema AYAYAYA
 
"KUFUNGULIWA SIO BAHATI BALI NI IMANI" Mtume Boniface Mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…