Mwamke ni katili sana

kuna watoto awasikii wanakera kweli na kuboaa yani ni wakorofi na watundu sana ukiwadhibu ivyo wanatulia ila unangalia na semu za kumpiga miguuni na natakoni akimumiza co mbaya unampeleka hospitari tuu ila unampiga miguuni na matakoni ataacha mwenyewe utundu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…