Mwamficha hadi lini. Siye Tuna hamu kumwona mbele ya umma

Mwamficha hadi lini. Siye Tuna hamu kumwona mbele ya umma

Muuaji Samia hana amani ya moyo tena, amepoteza kujiamini mbele ya wapiga kura wake FAKE 30M.
G9W1VsHXMAATRHI.jpg
 
OH MY DEAR PRESIDENT , WE SHALL LOVE YOU FOREVER , WE KNOW THAT YOU ARE BUSY WORKING FOR THE BETTER OF TOMORROW . I WISH YOU NOTHING BUT SUCCESS AND HEALTHY LONG LIFE MAMA SAMIA . NAKUPENDA MAMA YETU. UNAZIDI KUKOMAA KISIASA NA KIMAISHA KWANI KILA SIKU YA MWANADAMU NI FUNZO. MWENYEZI MUNGU IBARIKI NCHI YETU NA DUNIA NZIMA . UTUJALIE UPENDO NA MSHIKAMANO DAIMA , NA WANA JF WENZANGU WOTE NIWATIKIE HERI YA MSIMU WA SIKUKUU NA MWAKA MPYA .
Mdanganye tu
 
Tumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua.

Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye. Miye nawajuza leo. Twamhusudu kweli. Tumechoka kummisi kipenzi chetu. Atokemo hadhalani ahutubie. Atupungie barabarani. Hehehehh! Yaani nitafulahi. Mtu akaa ndani miezi yote hiyo tadhani apewa bed rest. Mayii. Atoke jeshi lipo imara. Na bado
Yu akaa likizo vooo, mwache apumzike Haloo yake........
Ati weye wasemaje Mwanakele?
 
Tumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua.

Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye. Miye nawajuza leo. Twamhusudu kweli. Tumechoka kummisi kipenzi chetu. Atokemo hadhalani ahutubie. Atupungie barabarani. Hehehehh! Yaani nitafulahi. Mtu akaa ndani miezi yote hiyo tadhani apewa bed rest. Mayii. Atoke jeshi lipo imara. Na bado
Je nao akina Luca wanahamu?
 
Back
Top Bottom