Mwambieni Polepole Aogope Mungu na Teknolojia

Mwambieni Polepole Aogope Mungu na Teknolojia

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Mwambieni Polepole Aogope Mungu na Teknolojia

 
Pamoja na kugombea bila kupingwa lakini Walichukua fomu na kufuata michakato yote ya chama chao

Mkapa alichukua fomu, kikwete alichukua fomu na Magufuli alichukua fomu, hawa wote walitafuta Wadhamini na kujadiliwa ndani ya vikao.

2.jpg


Ni lini Samia Kachukua fomu ya kugombea Urais kwenye Chama chake? Wadhamini kapata wapi? na alipitishwa na vikao vipi?
 
Lakini JPM alitia Nia akachukua fomu na kujadiliwa. Na huyu hiki kilikuwa cha mpito, yeye kapindua ati awamu ya sita.
Tena JPM aliondolewa ndani ya kikao cha kumjadili akatoka nje huko akaenda kwenye migahawa kunywa chai ya Tangawizi hadi alivyoitwa baadaye na kuambiwa umepitishwa kwa taabu

Samia alipoambiwa aondoke ndani ya kikao hicho feki cha JK ili ajadiliwe aligoma na kuna taarifa kwamba aliyetoa wazo la Samia kuondolewa ili ajadiliwe ashatekwa!
 
Kikwete si wanasema alipingwa na Shibuda? Hata hivyo kupingwa siyo Sheria. Kama watu wakijitokeza wanapewa nafasi.
 
Nenda kwenye akaunti yake ya Facebook ukamwambia mwenyewe
 
Ukweli huyu ni polepole tazama tangu 1961 hadi sasa wanamsifu kwa kujenga madarasa na vizahanati kwa kweli tutachelewa sana
 
From political analysis, what I think maybe the plan was made for the breach of customs and traditions this time with some popular members taking the forms and contest for the party nomination alongside her and maybe manoeuvres were planned to defeat her and make her one term , the greatest historic humiliation and who knows what would happen for the peaceful nation. Just UDSM student political analysis!

When you see others as hooligans you must have some elements too if you think critically.

This is dangerous time we must pray for the nation.

Kwani urais ni nini mbona unapiganiwa kupita kiasi hata watu wanajilipua ovyo? Ni kina nani wako nyuma na hawataki kuondoka Duniani bila kushika urais? Time Will tell!! Uchaguzi upite tupumzike huku kwetu Mpitimbi
 
Back
Top Bottom