Mwambieni Mengi atembelee Nyamongo Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwambieni Mengi atembelee Nyamongo Tarime

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtuwatu, Mar 29, 2010.

 1. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna haja ya mengi kwenda tarime na kukaa huko yy na timu yake afanye documentary kama anavyoonekana kutaka kufanya kwa migodi ya barrick tz, unyanyasaji kwa wanakijiji jirani cha nyamongo na maeneo yake yote, utawala wa kaburu mgodini, mahusiano ya kijiji na mgodi, afya na mazingira ya wanajamii wa nyamongo, miundombinu - barabara,umeme na maji, Ulinzi na usalam wa kijiji cha nyamongo, mikataba inavyosimamiwa!!
  Akitoka na majibu na mawazo ya wanakijiji juu ya hoja hizo hapo - na kama majibu yatakua mazuri basi hao wawekezaji waendelee kuwepo!!!!!
  Ila kama mambo yatakua mabaya - watanzania kuna haja ya kukataa unyanyasaji na uharibifu wa maliasili zetu eti kwasababu sisi ni maskini,No!
   
Loading...