Mwambieni Magufuli, Nimekasirika!

Mwambieni Magufuli, Nimekasirika!

Utaambiwa hata hayo maandishi yako sijayasoma nenda kayaandike kitandani kwako ulalie na mkeo.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Mimi ni nani? Mimi ni raia wa kuzaliwa na mzalendo kwa nchi yangu Tanzania, Na ninakiri kwamba pamoja na kwamba sio "wa chama kile" lakini nilimpigia kura yangu yangu kwa kuamini kwamba misimamo yake ya kusimamia katiba ingeisaidia hii nchi, (Nilikosea). Nimekasirika maana sikumchagua kufanya haya anayoyafanya sasa hivi ya kufanya neno lake ndio liwe katiba, Tafadhali Mwambieni.

Nimekasirika, kuona kwa sababu ya chuki zake binafsi na "Wawekezaji Wale" Watanzania wenzangu maelfu kwa maelfu wameachishwa kazi na kila kukicha makampuni yanaendelea kutangaaza kupunguza wafanyakazi na hata ambao bado wapo makazini hawajui kesho itakuwaje, Mwambieni sikumchagua kwa ajili ya kufanya hayo. Nilimpigia kura yangu ili aweke mazingira ya hao wenye nacho watengeneze ajira zaidi kwa watoto wetu, Nilimchagua atengeneze mazingira walau maisha yangu nami yainuke kidogo walau yawakaribie hao wenye nacho.

Nimekasirika, Binti yangu aliyesoma na kuhitimu chuo kikuu ualimu wa masomo ya arts na ambae nilimsomesha kwa mshahara wangu mdogo wa kazi yangu niliyoipoteza ya ulinzi kwenye kampuni la "Yule Mhindi" hajapata kazi tangu mwaka 2015. Wamerundikana mtaani na vyuoni bado wanaendelea kutengenezwa wengine, Nilimsomesha nikijua akimaliza ajira yake ni moja kwa moja serikalini na hivyo ndivyo ilivyokuwa, Si mngesema tangu awali kwamba ajira kwa hawa watu hazitakuwepo akasoma kitu kingine?

Mwambieni nimekasirika yeye kujifanya ndio Mungu, kuona kwamba yeye anajua kila kitu, Mwambieni kiongozi husikiliza, Nchi yetu hii ambayo watu wengi hawajui wanataka nini inahtaji kiongozi anayesikiliza maoni hata ya wachache wenye akili. Muulizeni kwanini anawachukia upinzani? Kama wanampa mawazo ya kujenga kwa nini anawachukia? Kwanini kuwakamata kamata kila siku kama vile wamekuwa maadui kisa tu wanaikosoa serikali? Nilitegemea angewasikiliza, na ambayo yanafaa angeyafanyia kazi kama hayafai angetoa majibu kwa hoja kwa nini hakubaliani na mawazo yao. Sio hivyo anavyofanya kuwachulia kama ni maadui wa serikali.

Mwambieni nimekasirika na mtaani kwetu watu wengi wana hasira. Mwambieni asipofanya jambo hawa watu anaofikiri hawana akili mwaka 2020 watamkataa, na akilazimisha ataelewa "Panya akikasirika anakuwaje". Mwambieni hajachelewa, akae ajitafakari upya, aanze upya.
Ngoja muisome number maana mlimchagua mwenyewe na 2020 bado mtamchagua.
Anayofanyiwa TUNDU LISU HAYAVUMILIKI.
HIVI NAPE UPO WAPI PLEASE SPEAK OUT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakiuka katiba? Kifungu gani kakiuka?

......
 
Nimekasirika, Binti yangu aliyesoma na kuhitimu chuo kikuu ualimu wa masomo ya arts na ambae nilimsomesha kwa mshahara wangu mdogo wa kazi yangu niliyoipoteza ya ulinzi kwenye kampuni la "Yule Mhindi" hajapata kazi tangu mwaka 2015.

.

Unamsomesha binti mpaka Chuo kikuu bado unamtafutia kazi? Huyo binti mayai hawezi kufanya la maana kama utaendelea kumdekeza. Ni bure kabisa na wewe kama mzazi kichwa nazi. Chuo kikuu halafu unalia hapa jukwaani kuwa hana kazi?
 
Mnapoandika upuuzi wenu, mue pia mnataja na vifungu vya sheria anavyovunja, kwa maana ya ibara. Na sio mtindo wenu wa kipuuzi wa ku generalise habari

Sent using Jamii Forums mobile app

Nawe kweli hamnazo! Unazungumzia ibara za kwenye nini? Kama ni katiba yeye haitambui na haitumii.

Labda wewe utuambie, anatumia ibara ya ngapi kukataza mikutano ya kisiasa, kuwakamata kina Lissu kila leo, kuminya nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi, kukamata makinikia na kuzuia ajira?

Labda iwe biblia unaweza kumkuta humo kwa yale aliyoyageuka!
 
Mimi ni nani? Mimi ni raia wa kuzaliwa na mzalendo kwa nchi yangu Tanzania, Na ninakiri kwamba pamoja na kwamba sio "wa chama kile" lakini nilimpigia kura yangu yangu kwa kuamini kwamba misimamo yake ya kusimamia katiba ingeisaidia hii nchi, (Nilikosea). Nimekasirika maana sikumchagua kufanya haya anayoyafanya sasa hivi ya kufanya neno lake ndio liwe katiba, Tafadhali Mwambieni.

Nimekasirika, kuona kwa sababu ya chuki zake binafsi na "Wawekezaji Wale" Watanzania wenzangu maelfu kwa maelfu wameachishwa kazi na kila kukicha makampuni yanaendelea kutangaaza kupunguza wafanyakazi na hata ambao bado wapo makazini hawajui kesho itakuwaje, Mwambieni sikumchagua kwa ajili ya kufanya hayo. Nilimpigia kura yangu ili aweke mazingira ya hao wenye nacho watengeneze ajira zaidi kwa watoto wetu, Nilimchagua atengeneze mazingira walau maisha yangu nami yainuke kidogo walau yawakaribie hao wenye nacho.

Nimekasirika, Binti yangu aliyesoma na kuhitimu chuo kikuu ualimu wa masomo ya arts na ambae nilimsomesha kwa mshahara wangu mdogo wa kazi yangu niliyoipoteza ya ulinzi kwenye kampuni la "Yule Mhindi" hajapata kazi tangu mwaka 2015. Wamerundikana mtaani na vyuoni bado wanaendelea kutengenezwa wengine, Nilimsomesha nikijua akimaliza ajira yake ni moja kwa moja serikalini na hivyo ndivyo ilivyokuwa, Si mngesema tangu awali kwamba ajira kwa hawa watu hazitakuwepo akasoma kitu kingine?

Mwambieni nimekasirika yeye kujifanya ndio Mungu, kuona kwamba yeye anajua kila kitu, Mwambieni kiongozi husikiliza, Nchi yetu hii ambayo watu wengi hawajui wanataka nini inahtaji kiongozi anayesikiliza maoni hata ya wachache wenye akili. Muulizeni kwanini anawachukia upinzani? Kama wanampa mawazo ya kujenga kwa nini anawachukia? Kwanini kuwakamata kamata kila siku kama vile wamekuwa maadui kisa tu wanaikosoa serikali? Nilitegemea angewasikiliza, na ambayo yanafaa angeyafanyia kazi kama hayafai angetoa majibu kwa hoja kwa nini hakubaliani na mawazo yao. Sio hivyo anavyofanya kuwachulia kama ni maadui wa serikali.

Mwambieni nimekasirika na mtaani kwetu watu wengi wana hasira. Mwambieni asipofanya jambo hawa watu anaofikiri hawana akili mwaka 2020 watamkataa, na akilazimisha ataelewa "Panya akikasirika anakuwaje". Mwambieni hajachelewa, akae ajitafakari upya, aanze upya.

hayo uliyoyaandika umetumia mkono wako au umetumia kiungo kingine cha mwili? Mheshimiwa mkuu wa Nchi songa mbele waache hao wanasemasema. mvua ikinyesha ni kulaumu, isponyeshe ni kulaumu mhh watu gani njie hivi!! sisi tuliowengi tunakuunga mkono kwa asilimia mia.
 
Upo sahihi mkuu... but you know huyu ni wetu until 2025 ndo anang'atuka.. si unawajua CCM wazee wa goli la mkono...!!!
 
Mimi ni nani? Mimi ni raia wa kuzaliwa na mzalendo kwa nchi yangu Tanzania, Na ninakiri kwamba pamoja na kwamba sio "wa chama kile" lakini nilimpigia kura yangu yangu kwa kuamini kwamba misimamo yake ya kusimamia katiba ingeisaidia hii nchi, (Nilikosea). Nimekasirika maana sikumchagua kufanya haya anayoyafanya sasa hivi ya kufanya neno lake ndio liwe katiba, Tafadhali Mwambieni.

Nimekasirika, kuona kwa sababu ya chuki zake binafsi na "Wawekezaji Wale" Watanzania wenzangu maelfu kwa maelfu wameachishwa kazi na kila kukicha makampuni yanaendelea kutangaaza kupunguza wafanyakazi na hata ambao bado wapo makazini hawajui kesho itakuwaje, Mwambieni sikumchagua kwa ajili ya kufanya hayo. Nilimpigia kura yangu ili aweke mazingira ya hao wenye nacho watengeneze ajira zaidi kwa watoto wetu, Nilimchagua atengeneze mazingira walau maisha yangu nami yainuke kidogo walau yawakaribie hao wenye nacho.

Nimekasirika, Binti yangu aliyesoma na kuhitimu chuo kikuu ualimu wa masomo ya arts na ambae nilimsomesha kwa mshahara wangu mdogo wa kazi yangu niliyoipoteza ya ulinzi kwenye kampuni la "Yule Mhindi" hajapata kazi tangu mwaka 2015. Wamerundikana mtaani na vyuoni bado wanaendelea kutengenezwa wengine, Nilimsomesha nikijua akimaliza ajira yake ni moja kwa moja serikalini na hivyo ndivyo ilivyokuwa, Si mngesema tangu awali kwamba ajira kwa hawa watu hazitakuwepo akasoma kitu kingine?

Mwambieni nimekasirika yeye kujifanya ndio Mungu, kuona kwamba yeye anajua kila kitu, Mwambieni kiongozi husikiliza, Nchi yetu hii ambayo watu wengi hawajui wanataka nini inahtaji kiongozi anayesikiliza maoni hata ya wachache wenye akili. Muulizeni kwanini anawachukia upinzani? Kama wanampa mawazo ya kujenga kwa nini anawachukia? Kwanini kuwakamata kamata kila siku kama vile wamekuwa maadui kisa tu wanaikosoa serikali? Nilitegemea angewasikiliza, na ambayo yanafaa angeyafanyia kazi kama hayafai angetoa majibu kwa hoja kwa nini hakubaliani na mawazo yao. Sio hivyo anavyofanya kuwachulia kama ni maadui wa serikali.

Mwambieni nimekasirika na mtaani kwetu watu wengi wana hasira. Mwambieni asipofanya jambo hawa watu anaofikiri hawana akili mwaka 2020 watamkataa, na akilazimisha ataelewa "Panya akikasirika anakuwaje". Mwambieni hajachelewa, akae ajitafakari upya, aanze upya.
Kwani wakati unamsomesha mwanao alikuambia atampa ajira km serekalini kakosa ajira si ana elimu yke siumpeleke Privet school akafundishe kna ulazima gni wakufundisha kwenye shule za Serekali.Kuhusu wapinza tumia akili watu wameishiwa hoja mpaka wanawaita Waandishi wa habari kuwaambia Nchi inadaiwa ni Nchi gani hapa Duniani isiyo daiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni nani? Mimi ni raia wa kuzaliwa na mzalendo kwa nchi yangu Tanzania, Na ninakiri kwamba pamoja na kwamba sio "wa chama kile" lakini nilimpigia kura yangu yangu kwa kuamini kwamba misimamo yake ya kusimamia katiba ingeisaidia hii nchi, (Nilikosea). Nimekasirika maana sikumchagua kufanya haya anayoyafanya sasa hivi ya kufanya neno lake ndio liwe katiba, Tafadhali Mwambieni.

Nimekasirika, kuona kwa sababu ya chuki zake binafsi na "Wawekezaji Wale" Watanzania wenzangu maelfu kwa maelfu wameachishwa kazi na kila kukicha makampuni yanaendelea kutangaaza kupunguza wafanyakazi na hata ambao bado wapo makazini hawajui kesho itakuwaje, Mwambieni sikumchagua kwa ajili ya kufanya hayo. Nilimpigia kura yangu ili aweke mazingira ya hao wenye nacho watengeneze ajira zaidi kwa watoto wetu, Nilimchagua atengeneze mazingira walau maisha yangu nami yainuke kidogo walau yawakaribie hao wenye nacho.

Nimekasirika, Binti yangu aliyesoma na kuhitimu chuo kikuu ualimu wa masomo ya arts na ambae nilimsomesha kwa mshahara wangu mdogo wa kazi yangu niliyoipoteza ya ulinzi kwenye kampuni la "Yule Mhindi" hajapata kazi tangu mwaka 2015. Wamerundikana mtaani na vyuoni bado wanaendelea kutengenezwa wengine, Nilimsomesha nikijua akimaliza ajira yake ni moja kwa moja serikalini na hivyo ndivyo ilivyokuwa, Si mngesema tangu awali kwamba ajira kwa hawa watu hazitakuwepo akasoma kitu kingine?

Mwambieni nimekasirika yeye kujifanya ndio Mungu, kuona kwamba yeye anajua kila kitu, Mwambieni kiongozi husikiliza, Nchi yetu hii ambayo watu wengi hawajui wanataka nini inahtaji kiongozi anayesikiliza maoni hata ya wachache wenye akili. Muulizeni kwanini anawachukia upinzani? Kama wanampa mawazo ya kujenga kwa nini anawachukia? Kwanini kuwakamata kamata kila siku kama vile wamekuwa maadui kisa tu wanaikosoa serikali? Nilitegemea angewasikiliza, na ambayo yanafaa angeyafanyia kazi kama hayafai angetoa majibu kwa hoja kwa nini hakubaliani na mawazo yao. Sio hivyo anavyofanya kuwachulia kama ni maadui wa serikali.

Mwambieni nimekasirika na mtaani kwetu watu wengi wana hasira. Mwambieni asipofanya jambo hawa watu anaofikiri hawana akili mwaka 2020 watamkataa, na akilazimisha ataelewa "Panya akikasirika anakuwaje". Mwambieni hajachelewa, akae ajitafakari upya, aanze upya.
Alisoma ili aajiriwe au alisoma ili elimu imsaidie katika maisha yake? yawezekana wewe pamoja na mwanao bado hamfahamu nini maana ya kuelimika au maana ya kusoma, poleni sana.
 
Back
Top Bottom