Mwambieni Lau Masha

Rejea post ya mtoa mada PARAGRAPH YA 5 .... mistari miwili ya kwanza .... soma kwa makini ukiwa umetulia .... UBISHI si mzuri ..... asante pia kwa kuniambia SIJIELEWI
b84c131a8d3dea4310ce334349c5ed05.jpg
 
Yes mtoa maada hajakosea alivyo andika kuwa "Mwambieni sisi tunaihubiri demokrasia ya kweli tena yenye tija na manufaa kwa kila mtanzania akiwamo yeye mwenyewe."

Yesu alipokuwa anahubiri, mamlaka ya kirumi na mafarisayo walimpinga na hawakutaka kumsikiliza, lakini hiyo haikuzuia yeye kuto kuhubiri ukweli. Sawa na CDM wao lazima wahubiri democrasia mpaka mwisho ingawa ccm haitaki!

Hivi wewe unafikiri democrasia ya kweli hipo ccm?
Akiwa kule kwa jirani zetu Kenya ... Mh. Eddo ali-announce kuwa atasimama kama PRESIDENTIAL CANDIDATE kupitia CHADEMA hapo 2020 ..... Maswali fikirishi:

1.Ni vikao gani ndani ya CDM vilikaa na kulipitisha hilo jina kwa kinyang'anyiro cha URAIS 2020?

2.Je kuna kiongozi ama mwanachama yeyote ndani ya chama ambae amewahi kuhoji juu ya kauli hiyo ya mh. sana?

3.Na je hiyo ndo DEMOKRASIA YA KWELI ndani ya CDM?

Note: I'm not any political party's fan
 
1. Vikao vya CDM vilikaa na kupitisha hilo ndiyo sababu ya Mh. Eddo kutoa announcement yakusimama kama Prezida!

2. Hakuna haja ya kuhoji sababu wote wanachama walimkubali bila kipingamizi au upinzani.

3.Demokrasia ya kweli ndani ya CDM inatakiwa iwe mfano kwa CCM ndani na nje.

Any more questions?
 
Kama Masha ndio ameenda kuunga mkono hayo Mambo basi kila la kheri.

--------
Dr Shika Magumashi,itakuwa alipata zile message za email umejishindia USD 5mils,ndio maana akaambiwa atume fedha za bima ili atumiwe.
 
si ni haki yake lakini mnataka kumlazimisha abaki?

jamaa anaweza kuwa maslahi yake yana karibia kuguswa so anajihami mapema
 
Back
Top Bottom