Mwambe kugombea uenyekiti CHADEMA sio alitafuta sababu ya kuondokea?

Tuliokuwa tunaona Chadema itakuwa mbadala wa CCM tulikosea sana.
Chadema imebaki misukule ya Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umechukia sana? Wewe ulipenda Mwenyekiti wa Chadema Taifa awe nani?
 
A very good analysis. Kama anashindwa kuvumilia kushindwa, je atavumilia segera miezi mitatu, atavumilia kuharibiwa mali zake? Huyu alikuwa anatafuta pa kutokea
Wanabodi salaam!.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu ambayo imekuja kwa mtindo wa swali. Hii ni kutokana na uungwaji mkono wa Mbowe kwa wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa CHADEMA kwa kupata ushindi mzito, kweli Mwambe hakuifahamu nguvu ya mshindani wake mkuu?, au aliifahamu ila akaamua kujitumbukiza huko makusudi ili akishindwa apate sababu ya kuondokea?.

Pia, kauli iliyowahi kutolewa na mwenyekiti wa CCM kumkaribisha Mwambe arudi nyumbani, naona kama Mwambe aliamua kutafuta sababu ya 'kijanja' zaidi
kuondokea CHADEMA na isionekane ni kwasababu ya ushawishi aliopewa na mwenyekiti wa CCM, ili kuficha ukweli uliowazi kwamba ni salama zaidi kwake kugombea jimbo lake kupitia tiketi ya CCM alipokaribishwa na mwenyekiti wake kuliko kubakia CHADEMA ambapo nafasi ya ushindi ni finyu kutokana na tuliyoyashuhudia kwenye chaguzi ndogo zilizopita miaka ya karibuni.

Kutokana na taarifa zilizopo, Mwambe hakuwepo ukumbini wakati wa kumtangaza mshindi, licha kuitwa mara tatu lakini hakuweza kuonekana. Hii inaweza kuwa ni kwasababu alishapenyezewa matokeo, lakini kiungwana kwasababu aliamua kwa utashi wake kugombea, bila kushawishiwa na yeyote, nilitegemea angekuwepo mpaka mwisho wa uchaguzi kutangazwa matokeo ili nae kama mshindani aweze kutoa salamu zake. Hii inadhihirisha kumbe Mwambe hana ujasiri huo aliokuwa anajinasibu nao wakati wa kampeni, kama angepewa chama angeweza vipi kukiongoza, kama jambo dogo tu la kuvumilia kutangazwa matokeo lilimshinda?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi namuona exit door, lakini anatafuta kiki kwanza maana kila alichojaribu kinakosa kiki.
Sijui atakuja na nini next.
 
Campaign manager wake Pasco mayala, Huyu jamaa Sikh hizi ni hopeless kabisa
 
Kwani kaondoka ?

Kumuandama hivi Cecil Mwambe baada ya kugombea uenyekiti kunahalalisha madai ya wale wanaosema uenyekiti wa Mbowe CDM ni wa wakudumu na kwamba anayediriki kugombea anashughulikiwa.

Nyie vijana wa BAVICHA mmejifunza wapi siasa nyie mbona mnathinking capacity ndogo sana sometimes ?

Ningewaona wa maana sana kama mngempongeza Mwambe kwa kuonyesha nia ya kuongoza chama kikuu cha upinzani nchini na kukaa kimya, kama kweli yeye ni pandikizi muda utasema.

Siasa ni strategy siyo makelele ya kipuuzi kama haya baada ya uchaguzi badala ya nyinyi kuendelea kujadili mustakbali mpya wa chama nyinyi mko busy kumzodoa Mwambe.

Hovyo kabisa. jd41,
Dogo alishachafua hali ya hewa mapema usimtetee
 
mbona uvccm mlimzodoa Mzee membe mkishirikiana na yule chizizi wenu musiba
Mkuu jitahidi kuwa na kumbukumbu
 
Tundu Lissu, John Heche, Sumaye, Mwambe etc

siyo Mbowe aliyechoka kifikra

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hilo ni chaguo la wewe. Wenzako wana chaguo lao na ndiye kiongozi wao. Nawe mchague unayempenda akuongoze. Shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom