Mwamba yupo Dar es Salaam, Jean Marc Mundele Makusu

Jean Marc Mundele Makusu,huyu jamaa alikuwa mtu na nusu sana,ijapokuwa sijui perfomance yake hivi sasa uko Orlando Pirates.
Huku mzanzsi Africa kusema ukweli mara ya mwisho mie kumuona uwanjani sijui ni lini,, mana mie pie ni mshabiki wa pirates,, inaweza kuwa ndugu zetu wameuziwa mbuzi kwenye roba,, hiyo performance ya huyu jamaa mnayoyizungumzia ni enzi za mwalimu,,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…