Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda simba au yanga.
Ndio nani huyu ?
Yanga na wakongo
Hivi Mugalu ni muhaya?Naona akichukua nafasi ya kopa Mutshimba
Eee ni Cris Mutshimba Rweikiza MugaluHivi Mugalu ni muhaya?
Aliidengulia Simba alivyokuwa kwenye form,sasa hivi kiwango kimeshukaNaona akichukua nafasi ya kopa Mutshimba
Huku mzanzsi Africa kusema ukweli mara ya mwisho mie kumuona uwanjani sijui ni lini,, mana mie pie ni mshabiki wa pirates,, inaweza kuwa ndugu zetu wameuziwa mbuzi kwenye roba,, hiyo performance ya huyu jamaa mnayoyizungumzia ni enzi za mwalimu,,,Jean Marc Mundele Makusu,huyu jamaa alikuwa mtu na nusu sana,ijapokuwa sijui perfomance yake hivi sasa uko Orlando Pirates.
Club ya makabwili hiyoWanamuacha MBWANGA wanachukua MUNDELE