MWAMBA WA MASHARIKI (EASTERN BLOCK ) VS MWAMBA WA MAGHALIBI(WESTERN BLOCK).

MWAMBA WA MASHARIKI (EASTERN BLOCK ) VS MWAMBA WA MAGHALIBI(WESTERN BLOCK).

Mwakamajoka

Senior Member
Joined
Nov 21, 2017
Posts
170
Reaction score
149
Urusi, China, Korea Kaskazini, Beralus, Kazakistan, Mongolia, Vietnam, Laos, Cambodia, India, Philippines, Myanmar(Burma), Turkey, Crimea, Syria, Qatar, Pakistan (Uwezekano mkubwa wa kuwa chanzo cha Taliban group through the power of Pakistan Military Intelligence =Inter Service Intelligence), Taliban in Pakistan, Taliban in India, Taliban in Afghanistan, Taliban control 50% of Afghanistan territory, Houthi control almost 50% of Yemeni territory, Hamass, Hezbollah, Palestine nk.

MAKUNDI.

1:Black Sea Powers(Russia + Turkey)
2:Caspian Sea powers (Russia, Azerbaijan, Iran, Turkmenstan and Kazakhistan)
3:BRICS(Brazil, Russia,India, China, South Africa,very soon Turkey will join).

AFRIKA :

Afrika Kusini, Tanzania, Zimbabwe, Msumbiji, Angola, Namibia, Zambia, Sudani Kaskazini, Afrika ya kati.

AMERIKA :

Brazil, Venezuela, Bolivia, Argentina, Cuba.

MWAMBA WA MAGHALIBI :

1:FUKUS(France, UK and US).
2:FIVE EYES(US, UK, Canada, Australia na New Zealand)
3:NATO(North Atlantic Treaty Organisation)... German and Turkey are slowly shifting from the Alliance (NATO).
4:TPP(Trans-Pacific Partnership)
Chile, Peru, USA(Withdrawn) , Canada, Japan, Korea Kusini, Malaysia, Singapore,Vietnam(Mkakati), Indonesia, Australia na Newzaland.
5:TTIP(Trans-Atlantic Trade Investment Partnership) USA +Europe.

TERRORIST GROUPS :
ISIL(IS), Jaysh Al-Nusra, Jaysh al Islam,Syrian Democratic Force(SDF) , Free Syrian Army(FSA), Kurdish Workers Party (KKP), People’s Protection Unit (YPG), Women's Protection Unit(YPJ), Anti-terro unit,

AFRIKA :
Nigeria, Kenya, Libyan government, Egyptian government.

AMERIKA :

Colombia na Paraguay.

Al-Qaeda,Harakat Al-shabab al Mujahideen na Boko Haramu????

Unachofahamu ni muhimu sana, naruhusu kukosolewa na kuelimishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wababe wawili na tawala zao wa magharibi nawa mashariki wanavyojijenga au watakavyojijenga.kama nimeelewa.
 
Kwani Ume andika nini mkuu.??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mvutano/mnyukano/mpambano kati ya UJAMAA NA UBEPALI kupata washirika kwa sera zao kwa kupindua serikali ambazo haziungi mkono mikakati yao. Kuna kitu kikubwa hapa cha kuzingatia kuna upande unataka rasimali kuu ndani ya nchi kuendeshwa/kusimamiwa na serikali(Ujamaa) akati upande mwingine unataka rasilimali kuendeshwa/kusimamiwa na watu binafsi(Ubepali).

Kuna mbinu nyingi sana zinatumika ila naomba uzingatie nchi zifuatazo kwa kuelewa zaidi :-
1:Zimbabwe
2:Afrika ya kusini

Kilichotokea Zimbabwe kitatokea Afrika ya kusini, Cyrill Ramaphosa anampango wa kurudisha ardhi kwa wananchi/serikali toka kwa watu binafsi hasa Mabepali wa kikaburu.

Venezuela kwa Nicolas Maduro na sekta ya nishati ya mafuta ambapo alifanya kitu kinaitwa NATIONALIZATION.

Irani kipindi cha Mohammed Mosaddegh alipofanya NATIONALIZATION.

kuna upande unahitaji NATIONALIZATION na upande mwingine unataka PRIVATIZATION.

Kwa sasa hapa Duniani ishu ya moto ingawa wengi bado tumelala ni :-

1😛akistan
2:Afrika Kusini
3:Venezuela

Fatilia pia serikali za nchi hizi :-

1😛araguay
2😛eru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidie kuuleza wengine ulichokifahamu hii ni elimu ya bure, sidhani kama unaweza ukafundishwa darasani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani katika kugombania ukuu wa kidunia zinatengenezwa falme na makundi mbalimbali ili kufanikisha utawala huo.na hapa wamashariki wanamtegemea mrusi na marafiki zake wakati wamagharibi wapo na mkulu wao muamerika.sasa naona mkuu were umedadavua jinsi ujenzi na utawala wa wababe hawa ulivyo na unavyopangwa kuwa.kulingana na mipango na mbinu za kila kundi.
 
Hivyo ndivyo,,, asante mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna harufu ya moto kwambali Teja wa rasilimali za nchi nyingine atakapo zidiwa maarifa na hii itaongezeka zaidi UTURUKI atakapo jitoka kwenye Nato yeye nikiungo muhimu kwenye Uteja wa Nato!
 
Wamshambulie tuu, ndivyo ulivyoandika hata sababu huna..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pointi ya Malignant Tumor uliyoijibu inamaana sana, naomba uniamini Uturuki ili awesalama zaidi kwa hali ya sasa ana namna tatu za kufanya :-

1:Aendelee kuwa mwanachama wa NATO kwasababu hakuna mwanachama wa NATO anayeruhusiwa kumshambulia mwanachama mwenzake kivita.

2:Awe mwanachama wa NATO afu ashirikiane na Urusi kwa siri au wazi wazi kitu ambacho ni tatizo kubwa sana kwa umoja wa NATO, mpaka hivi sasa tunavyojadiri Uturuki anampango wa kununua mtambo korofi wa kiulinzi wa anga kutoka Urusi ukifahamika kama S-400 Triumph(Surface-to-air defence system) mtambo ambao hauna mpinzani kwenye upande wa ulinzi wa anga.

3: Nafasi ya tatu ni kujitoa NATO kabisa na afungamane na Miamba ya Mashariki, ukizangatia watu wa Magharibi tiari wameisha mfanyia fitina za kutaka kumpindua Recep Tayyip Erdogan.

Pana mambo mengi matam sana mkuu hapo !
Tusubiri tuone ushawishi wa Russia dhidi ya Uturuki patatengeneza history kubwa sana misuli halisi inaweza onekana !!
 
Nipo mkuu nilikimbia kidogo mkuu !
Naona Syria vita vimekwisha ze kokuyo, sijuwi kama anajuwa tiari vita vimesha kwisha huko!
Iran’s defense minister arrives in Damascus to discuss reconstruction of Syria
Siria mambo bado magumu, kwa hali inavyoendelea hivi sasa tena kwa kuzingatia kauli za USA National Security Adviser Mr. JoBo na pata tabu sana kuamini vita vimeisha. Hawa jamaa(USA na washirika wake) nadhani walikimbia ili kwenda kujipanga baada ya mambo kuwa maji ya shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom