MWAMBA WA MASHARIKI (EASTERN BLOCK ) VS MWAMBA WA MAGHALIBI(WESTERN BLOCK).

MWAMBA WA MASHARIKI (EASTERN BLOCK ) VS MWAMBA WA MAGHALIBI(WESTERN BLOCK).

Siria mambo bado magumu, kwa hali inavyoendelea hivi sasa tena kwa kuzingatia kauli za USA National Security Adviser Mr. JoBo na pata tabu sana kuamini vita vimeisha. Hawa jamaa(USA na washirika wake) nadhani walikimbia ili kwenda kujipanga baada ya mambo kuwa maji ya shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
unadhani wao wakijipanga waliowatimua hawajajipanga russia ni zaidi ya tuijuavyo,putin na warusi ni shida.
 
Back
Top Bottom