Mwamba wa ajabu jamani

Niambie huo sijui mti au jabali lenye umbile hilo liko nchi gani na sehemu halisi nikalishuhudie kwa macho yangu.
 
Ni mwamba wa kawaida tu kama ile niliyosema inapatikana sana maeneo ya Iringa, binanamu (msanii) ndie aliyeuajabisha

Mkuu ile miamba ya pale Kitonga Iringa ingechongwa picha mbalimbali kama hizi ingekuwa kuvutio kikubwaaa. Badala yake kuna michoro ya rangi na maandishi ya majina ya watu .vurugu tupu
 
Mkuu MM hivi picha imechongwa ama ni mwamba wenyewe umejitengeneza?
 
Nkuti nyedi Nyedi atambajamba! Ntwara hoyeeee!
 
Dede dedee dedeee dede nakulila eeh!
 
Mlamleni nenda kachome chule ya mila ya achilia, kajue nkamwana anachitahili hechima gani kwa kukubebea mimba ya kunzaa nkeo. Zamani nzee kutembea na nkamwana ni kutunza mila, leo hii hayo ni uchenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…