Unajua mtu akilewa ndo huwa anaropoka kile anaamini kiukweli kweli.
Pombe inasingiziwaga tu ila inapush sana ule uhalisia wa mtu wa ndani kabisa, na kile kitu anapenda.