Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa,huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.
Hiyo picha alipigwa 06march 2022,akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.