Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,297
- 34,639
Yeye kazi tu ,hana mambo mengiHuyu nimekuja kujua kama ni mzungu baada ya kustaafu kazi ya uaandaji wa muziki.
Mzee alikuwa hapendi kiki wala camera
Safiii sana kipindi muhimu kile..duh..umenikumbusha mbali
-Daz Nundaz - Kamanda, BaruaMajina yake kamili anaitwa Mikka Aleksanteri Kari jina maarufu Mika Mwamba.
Kiasili jamaa ni Mfinland.
Miikka aliwahi kufanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchini Tanzania. Wasanii hao ni: Dully Sykes, Inspector Haroun, Lady Jay Dee, Mad Ice, Chegge, Mandojo na Domo Kaya, Solid Ground Family, Complex, Zahrani (maarufu kama Big Punisher wa Bongo), Only Face, Dknob na wengine wengi wa kutoka Tanzania.
Mika Mwamba alikuwa na vionjo vyake fulani hivi balaa.
Miongoni mwa nyimbo alizowahi kuzitayarisha ni hizi.
- Barua na Kamanda ya Daz Nunda Julieta - Dully Sykes (2000)
- Athumani Mlevi - Solid Ground Family (2001)
- baby Gal - Mad Ice (2002)
- Tupa Mawe - Zahrani na Complex (2001)
- Twenzetu - Chegge, Ferouz na Mh Temba (2005)
- Elimu Mitaani.com - Dknob (2003)
- Kitu Gani - Dknob (2007)
- Nakupenda mpenzi usiyependa chapaa(Tentementee)-Dudu baya.
View attachment 2764151
🔥🔥🔥🔥🔥🔥-Daz Nundaz - Kamanda, Barua
-Inspekta Haroun - Mtoto wa geti kali
-Mandojo na Domokaya - Wanok nok, Niaje
-K Sal Feat Ferooz - Mkiwa
-Prezzo Feat Naziz - Let's go down
-Ziggy Dee - Eno mic
-Mad Ice Feat Jaydee - Nishike mkono
Huu alitengeneza P Funk, sio Miika.Nikupee nikupee nini mpenziii cc Mandonjo na Domokaya
Niliupenda sanaHuu alitengeneza P Funk, sio Miika.
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi wako wapiHivi Ile Ngoma ya Balozi bado nipo sijatoweka kwenye chati NI Mika mwamba au?
Hakitarudi tena.Safiii sana kipindi muhimu kile..
Kweli kabisaHuu alitengeneza P Funk, sio Miika.