Mwamba alivyowapiga Lowassa na Mengi

Mwamba alivyowapiga Lowassa na Mengi

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,308
Reaction score
4,207
Unaambiwa ile 2015 Mwamba akamuweka pembeni Dkt. Slaa kwa kumkaribisha Lowassa lakini kabla ya hapo masharti ilikuwa Lowassa alipe dollar za kimarekani million moja kwa Mwamba.

Lowassa akampa cash, mwamba akatia mfukoni.

Mwamba Akaenda kumdanganya/ kumrubuni Mengi, Mengi naye akampa 1m USD.

Mwamba akakunja 2M USD pekee yake. Yaani hata hakuwapoza kina Lema, Boni Yai, Mnyika.

Mengi alipokuja kugundua baadaye mwamba alishapewa hela na Lowassa na kuingizwa chaka alichoka na kumaindi kichizi.
 
Huyu jamaa hakuna mali mpya aliyoongeza juu ya alizopewa na baba yake. Kuanzia Bilicanas hadi Aishi hotel. Zote alizirithi kutoka kwa baba yake.

Cha kuongezea kuna kiwanja Moshi mjini baba yake alipewa na Nyerere mpaka kesho mwamba hajakiendeleza.

Halafu Mwamba ndugu zake wote walikimbilia nje. Mali karibia zote aliachiwa yeye.
 
Mwamba alikukuwa mgumu kutoa posho
 
Unaambiwa ile 2015 Mwamba akamuweka pembeni Dkt. Slaa kwa kumkaribisha Lowassa lakini kabla ya hapo masharti ilikuwa Lowassa alipe dollar za kimarekani million moja kwa Mwamba.

Lowassa akampa cash, mwamba akatia mfukoni.

Mwamba Akaenda kumdanganya/ kumrubuni Mengi, Mengi naye akampa 1m USD.

Mwamba akakunja 2M USD pekee yake. Yaani hata hakuwapoza kina Lema, Boni Yai, Mnyika.

Mengi alipokuja kugundua baadaye mwamba alishapewa hela na Lowassa na kuingizwa chaka alichoka na kumaindi kichizi.
Huyu jamaa kweli tapeli
 
Lusungo sasa hivi anakuja umemgusa basha ake.
 
Kwenye pesa kengeza anauza hata utu wake🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom