Mwalimu wa udereva anahitajika

MBONA MNANICHANGANYA JAMANI
VETA ni tofauti na Chuo cha Usafirishaji (NIT). kama hapo kwenu Dasilamu VETA iko Keko kama sikosei. Veta wanafundisha basic na hapo ni rahisi hata kupata leseni kuliko kujifunza kwa binafsi tu!
 
pale mbezi tang bovu kipo chuo cha udereva wa magari madogo (class D driivers), ikiwa unatokea tegeta vuka bara bara coz iko upande wa kutokea mwenge, nyuma ya kituo cha dala dala cha tangi bovu utaona jengo la ghorofa 1, utaliona bango lake ktk ilo ilo jengo au km htoliona basi ulizia watu kwa msaada zaid!
ungekua unaishi huku gongo la mboto au maeneo ya karibu na huku ningekufundisha sheria na alama za bara barani na pia kuendesha.
 
Unataka ufundishwe auto au manual?
 
Nichek inbox kama uko tayari... Nitahakikisha umekuwa dereva mahiri, hadi mkoani utakuwa unaenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…