Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Anakaa huko huko kwa mwalimu?
Why msiende wote tuition na wewe? Msome wote🤭Hapana analudi home kabisa
Aangalia kwanza Wazazi wake nao wako smart kwa kichwa au ndiyo Dogo karithi akili za Wazazi wake!!??Hellow guys
Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.
Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile
Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone
Mimi : sawa kaka
Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
Mwanao jinsia Gani na Mwalimu jinsia Gani... Maana siku izii maadili ya walimu Yamepolomoka.... Isije ikawa Kuna namnaaaaa... Mwalimu anasilikizia...Hellow guys
Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.
Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile
Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone
Mimi : sawa kaka
Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
Koo wenu MNa akili au unataka mbebesha mtoto mzigo ambao sio wakeHellow guys
Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.
Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile
Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone
Mimi : sawa kaka
Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
Si dhambi kuwa mzito wa akili ila si salama saana kumkazania huko...jaribu kuongea nae mwenyewe kwa namna ya kushauriana umsikilize maoni yake afu umshauri ajaribu masomo mengine ya ujuzi. Atakachoona kinamfaa msikilizeHellow guys
Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.
Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile
Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone
Mimi : sawa kaka
Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
ooh,, usioneshe kumkatia tamaa, jitahidi kufanya follow up ya maendeleo yake kila anaporudi kutoka tuition, he/she is not an empty vessel atakaa tu kwenye mstariHapana analudi home kabisa
Mpeleke Veta mkuu, elimu ya ma fiziksi, history na hesabati it’s not for everyone…mpeleke veta apate elimu kwa vitendo mbona atafanya vizuri tuHellow guys
Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.
Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile
Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone
Mimi : sawa kaka
Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
Acha basi 😅😅😅Why msiende wote tuition na wewe? Msome wote🤭
Mtoto kama huyo peleka tu VETA, halafu baada ya kumaliza masomo ya fani atakayoisome; utakuja kuona matunda yake.
Why msiende wote tuition na wewe? Msome wote[emoji2960]
Ungesema baadhi mkuu, kila fani inauvamizi wa wahuniMwanao jinsia Gani na Mwalimu jinsia Gani... Maana siku izii maadili ya walimu Yamepolomoka.... Isije ikawa Kuna namnaaaaa... Mwalimu anasilikizia...
Aangalia kwanza Wazazi wake nao wako smart kwa kichwa au ndiyo Dogo karithi akili za Wazazi wake!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Watoto hurithi akili kwa mama zao.U
Koo wenu MNa akili au unataka mbebesha mtoto mzigo ambao sio wake
Nakubaliana na mwalimu. Kuna watoto ni wazito sana utadhani anafanya makusudi unaweza ukapiga mangumi kumbe haelewi unamuonea bure