mwalimu wa Physics,Chemistry and Biology anapatikana

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Wana JF mimi ni kijana mwenzenu nimemaliza SUA naomba kama kuna yeyote mwenye nafasi ya ualimu au kazi ingine yeyote anisaidie,nimesoma BS.Human Nutrition,kwa sasa nafundisha shule flan lakini inaelekea kufa mana hata mishahara tu ya wafanyakazi wanashindwa kulipa, maisha yanakuwa magumu.msaada tafadhali
Nimetafuta kazi ya field yangu mpaka leo hii kila nsehemu ninayoomba sipati,msaada wenu wana Jf wema,najua humu kuna watu wa kila kada ambao wanaweza kunisaidia,please niPM au 0762-323935
Nawashukuruni wote!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom