Natafta kazi mimi ni mwalimu wa Biology

leeh ney

Member
Sep 12, 2018
25
11
Hello wakuu wa jf Leo nimekuja natafta msaada wa kupata Kaz ya kufundisha katika shule za O level NA Advance.
Ninao uwezo wa kufundisha somo la BIOLOGY pamoja NA geography.
Elimu yangu n shahada ya kwanza nimemaliza mwaka huu chuo.

Kwa anayehitaji ama anafahamu shule yoyote yenye uhaba wa masomo tajwa naomba anisaidie.
NB: Niko kwa sasa Dar es salaam NA niko tayari kufanya Kaz popote Tanzania.
Asanten sana!!
Kwa yeyote mwenye kujua naomba uni pm ili iwe rahisi kuwasiliana nawewe.
 
Back
Top Bottom