Mwalimu wa Chemistry, Biology na Physics anapatikana

bwenyz

Member
Sep 19, 2016
55
20
Mmeshindaje jamn,mm nmemaliza chuo nina miaka miwili npo nyumbn,nmesomea ualimu,masomo ya sayansi yaan chemistry, biology na physics, kama kuna kaskia kuna private inatafta mwalim msaada jamn,maana maisha magum jamn
 
Hakuna ualimu wa masomo matatu, huo ubabaishaji. weka namba zako za simu
 
Juzi hapa mlitangaziwa kupeleka vyeti nyie wanasayansi, wewe hukuona hilo tangazo?
 
Cjaona hilo tangazo nisaidieni ,msnikashfu,na kutaja hyo masomo matatu,nkwamba ninauwezo ya kuyafundisha vzur,mm nmemaliza DUCE,mwaka juz,na npo mkoani ila nikipata shule mkoa wowte naenda
 
Mwezi wa 3 si mnaajiliwa?
 
Cjaona hilo tangazo nisaidieni ,msnikashfu,na kutaja hyo masomo matatu,nkwamba ninauwezo ya kuyafundisha vzur,mm nmemaliza DUCE,mwaka juz,na npo mkoani ila nikipata shule mkoa wowte naenda
Siku zote professional haipo hvoo
 
Cjaona hilo tangazo nisaidieni ,msnikashfu,na kutaja hyo masomo matatu,nkwamba ninauwezo ya kuyafundisha vzur,mm nmemaliza DUCE,mwaka juz,na npo mkoani ila nikipata shule mkoa wowte naenda
DUCE haitoi graduate wa masomo matatu kama wewe!
Hata kujieleza kwako ni kwa mashaka sana, sidhani kama umesoma DUCE
 
Back
Top Bottom