Mwalimu wa nyumbani napatikana

Mwalimu wa nyumbani napatikana

Phyzicer

Member
Joined
Aug 29, 2025
Posts
6
Reaction score
3
Wakuu nawasalimu.

Kama kichwa kinavyojieleza.

Mimi kijana wa Kitanzania. Ualimu ndio Fani yangu(I'm very proud) hasa kwa wale wazazi au walezi wanaopenda watoto wao wafundishwe nyumbani kwao.

Nipo available kwa Kazi hiyo kwa wakaazi wa Dar es salaam(Nipo Dar es salaam kwa sasa)

Masomo ya Science na Hesabu ndio mambo yangu na Asipoelewa basi Kuna namna sio bure(joke).

PM ipo wazi wakuu kwa mwenye uhitaji huo from primary to Secondary level nipo available any time.

Naomba Support yenu wakuu. Natanguliza shukran.
 
Masomo yako mazuri sana, tengeneza matangazo usambaze barabarani nk, utapata wazazi
 
Back
Top Bottom