Dexaquin JF-Expert Member Joined Feb 7, 2015 Posts 230 Reaction score 80 Nov 15, 2015 #1 Habarini wakuu..... Nahitaji mwalimu wa kunifundisha music wa noten, mimi napatikana mwanza.... Kwa alietayari ani pm, malipo yatakuwepo! Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu Asanteni
Habarini wakuu..... Nahitaji mwalimu wa kunifundisha music wa noten, mimi napatikana mwanza.... Kwa alietayari ani pm, malipo yatakuwepo! Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu Asanteni