Mwalimu wa maths | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa maths

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mtangi mtangi, Oct 26, 2011.

 1. M

  Mtangi mtangi Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuliweka tangazo la kuhitaji mwl wa maths tunashukuru tumefanikiwa kumpata asanteni sana kwa wote waliopiga simu kuulizia mmbarikiwe sana wana jf
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mmempata Kwa Vigezo gani? Na hii tabia ya kuwarusha roho na kazi zenu hewa ebu muache kabisa.
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Duh! Labda walimfanyia phone interview,na cm yenu mkaamua kuzima? Mana nimepiga cm mda mfupi baada ya tangazo ikawa haipatikani nikasema ntajaribu baadae kumbe looh,kila ki2 tayari!
   
 4. M

  Mtangi mtangi Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbuka matangazo hatukuweka humu tuu tatizo mnapenda kulaumu tuu watanzania wengi wapo hivyo
   
Loading...