Mwalimu wa MATHS

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Natafuta mwalimu wa kufundisha tuition ya form one mwezi April 2011. Masomo ya Physics na Maths.
 
Mambo vipi
kuna hawa Teachers junction ni Teachers Recruitment Agency huwa wanatangaza sana humu kuwa wa waungaunganisha walimu na shule.
Kuna jamaa alisema humu kuwa wamempatia shule ya Green Acres so cheki nao.
0655586906;
0753810857 project cordinator
huyo wa voda ndo kila kitu make sure unameet nae face to face
Vp mwalimu wa maths natafta kazi nipo dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom