Mwalimu wa kufundisha Nyumbani (mathematics, physics and chemistry )

Mwalimu wa kufundisha Nyumbani (mathematics, physics and chemistry )

babzube15

Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Habari ndugu.

Kwa yeyote ambaye anahitaji mwalimu wa kufundisha (home tuition) basi anione. Ninafundisha masomo ya Hisabati (Basic mathematics & advance mathematic) na fizikia (Physics) na kemia (chemistry) Ninatumia mbinu za kisasa kumfanya mwanafunzi aelewe vizuri juu ya kile anachofundishwa.-

Masomo yatakuwa jioni kwa weekdays, ila siku za weekend ni maelewano kulingana na ratiba za mwanafunzi. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa number hii 0654 079986.

Mzazi mpende mwanao elimu ni mwanga wa maisha. Kwa pamoja tushirikiane kumtimizia malengo yake.

NB: Hii ni kwa wakazi wa Dar pekee
 
Duuh jamaa anajifanyia promo huyu ila si mbaya ukituambia profesion yako mkuu then ndio tukupatie wanetu..
 
Duuh jamaa anajifanyia promo huyu ila si mbaya ukituambia profesion yako mkuu then ndio tukupatie wanetu..

Sio promo kiongozi ni uwezo tu....bacheleor of engineering in electrical /electronics ....kufundisha najua na napenda .....nataka kuwa lecture siku moja mungu akipenda
 
habari ndugu.

Kwa yeyote ambaye anahitaji mwalimu wa kufundisha (home tuition) basi anione. Ninafundisha masomo ya hisabati (basic mathematics & advance mathematic) na fizikia (physics) na kemia (chemistry) ninatumia mbinu za kisasa kumfanya mwanafunzi aelewe vizuri juu ya kile anachofundishwa.-

masomo yatakuwa jioni kwa weekdays, ila siku za weekend ni maelewano kulingana na ratiba za mwanafunzi. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa number hii 0654 079986.

Mzazi mpende mwanao elimu ni mwanga wa maisha. Kwa pamoja tushirikiane kumtimizia malengo yake.

Nb: Hii ni kwa wakazi wa dar pekee

umecopy na kuedit tangazo langu. You need to be creativity . Hapo ni kuconfuse wazazi.. Some one post then mwingine anapost maneno yaleyale . Mnakera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom