mwalimu wa history na geography nipo chato

mwalimu wa history na geography nipo chato

muhandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
311
Reaction score
84
Mie ni mwalimu wa Diploma wa jinsia ya kiume. Nina uwezo wa kufundisha somo la Historia na Jiografia. Nahitaji kazi endapo kuna mahala mwalimu anahitajika wa masomo hayo. Namba yangu ya mawasiliano ni 0717039283.

Asanteni.
 
una diploma au unauwezo wa kufundisha diploma
 
Oya mkuu kama upo interested wacheki hawa jamaa!
KWA WALIO DAR NA PWANI.
Kama wewe ni mwalim yaani wa daycare, nursery, primary,ordinary secondary level au advance secondary level haujapata ajira, na unatafuta ajira, unahari ya kufanyakazi na upotayari kufanya kazi ndani ya dar au pwani, Tuwasiliane kwa sim 0682727530 AU 0713563101 upate maelezo zaidi au tuma cv kwenye email bwashehealli@yahoo.com
 
thanx tutawasiliana.
 
utafundisha historia na geographia ya chuo kikuu, sekondari, chekechea, advanced secondary, msingi, ama chuo cha diplomasia?
 
Umesha ongea na headmaster DONGE nasikia anapokea walimu we kaachato utuondolee ujinga walionao wadogo zetu afu kwanza ndo wanafeli sana masomo ayo MAGAFU anazogoa sana.
 
Umesha ongea na headmaster DONGE nasikia anapokea walimu we kaachato utuondolee ujinga walionao wadogo zetu afu kwanza ndo wanafeli sana masomo ayo MAGAFU anazogoa sana.

MKUU MPESA ASANTE SANA NIMEONANA NA HEADMASTER DONGE KAMA ULIVYO SEMA NA KILA KITU KINA KWENDA SAWA KABISA. WACHA MIMI NIJIKITE HUKU,NI MATUMAINI YANGU KUWA MILANGO ITAZIDI KUUNGUKA MAISHA POPOTE AU SIO.BIG UP MKUU:rockon:
 
Mwalimu gani hata kujieleza hujui?
 
mimi ni dreva dalaja la pili, moter vehicle macanics dalaja la tatu driving licence class c pia ninauzoefu wa miaka kumi na tatu katika kazi hii.Napatikana mwanza kwa mawasiliano zaidi 0755339586 au 0655339586
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom