Mwalimu wa hesabu na Mwanafunzi

Ni genius hata mwalim hajawah kufkiria hivo vitu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Mwalimu alitangulia kuzaliwa na kusoma, ila dogo anatisha
 
tatizo tunakariri maswali na majibu watanzania, mtu anapotoa jibu lake mheshimu na mpe muda akufafanulie, u can loss world genius kwa kujiona we are all knower...kila kitu ili ukikubali lazima kitetewe kwa ufafanuzi wa kina
 
Safi sana Wiseboy!!!
 
Nimeona sister, wasalimie Uamsho hapo Zenji! Hope wataanza kuwa critical thinkers

Hahahahaha hata nawajua basi? Me naskia tu habar zao coz niko mbali na town

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…