Mwalimu wa Hesabu Anahitajika Haraka

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,664
2,517
ajira.jpg


Shule ya awali na msingi ya Magreth inahitaji mwalimu wa hisabati darasa la iii, iv na v, mwombaji awe na stashahada au shahada ya ualimu somo la hesabu. Fika shuleni Kimara Mwisho, Barabara ya Bonyokwa, Kwa Mrema, au tupigie 0719 360 956 au 0655 030 050.
 
Back
Top Bottom