Kama kuna kituo chochote wanachofundisha french kwa wasiojua kabisa jamani kwa hapa mwanza naomba anielekeze au ka inawezekana anipe na mawasiliano ya hiyo insititution
Unaonekana huna nia ya kusoma kifaransa. Mara ni wasanii halafu unataka contact zao. Anyways u dont judge a book by its cover. If u ar in mza go there physically meet them, talk to them and see if really they are wasanii or not