MWALIMU WA ENGLISH MEDIUM SCHOOLS

Sep 15, 2016
29
5
Nimesoma BAED ninauwezo wa kutumia kiingereza vizuri na ninapenda sana kufundisha ENGLISH MEDIUM SCHOOLS. Natafuta Kazi kufundisha ENGLISH MEDIUM SCHOOLS nipo mbeya 0766971149
 
usifikirie ni simple kufundsha English medium hususan kama umesoma shule za serikali kuanzia primary hadi secondary.. kuna changamoto kibao Kwenye kingereza hata kama somo lako la kufundshia ni English... any way kila lakheri... karibu
 
Mkuu una bachelor?? Ufundishe primary duuuuuu wtt wana special skills to teach mkuu
 
Mimi ni mwalimu wa kiingereza, social studies na civic and moral nimefundisha English medium kwa miaka mitano sasa naombeni mwenye connection mkoa wa morogoro au dar anipe number 0783131347
 
Back
Top Bottom