Mwalimu wa english language, literature in english na kiswahili

Mtafuta kiki

Member
Jun 3, 2016
76
34
Dada angu anatafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo huu...yeye ni mtaalamu wa lugha na amebobea katika kufundisha literature,english language na kiswahili sarufi na fasihi... kwani amesoma bachelor ya literature na post graduate diploma ya ualimu..Kwa wale wadau wa elimu au wamiliki shule huyu ni mtu sahihi kwan anamudu vzuri masomo hayo..anafundisha madarasa yote o level na hata advance....pia wenye vyuo vya ualimu anawafaa...anapatikana kwa namba izi 0719218890
 
Back
Top Bottom