Mwalimu wa chekechea

Mwalimu wa chekechea

Malolella

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
366
Reaction score
114
Natafuta walimu wa chekechea, aliyetayari au kama una ndugu au rafiki yako nisaidie mawasiliano yake. Nimejenga shule kwaajili ya watoto wadogo hivyo nahitaji walimu. Ni pm kama upo tayari.
 
jamani,,,mimi hapa,,na ninavyopenda watoto wadogo,,nina udhoefu nao wa miaka mitatu ,,my number ni 0759751698
 
Natafuta walimu wa chekechea, aliyetayari au kama una ndugu au rafiki yako nisaidie mawasiliano yake. Nimejenga shule kwaajili ya watoto wadogo hivyo nahitaji walimu. Ni pm kama upo tayari.
Toa namba zako bac na direction ya shule ilipo.
 
Back
Top Bottom