Mwalimu wa Arts anahitajika haraka!!!

Mwalimu wa Arts anahitajika haraka!!!

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
913
Reaction score
923
Habari wanaJF, nahitaji mwalimu wa arts naomba anitafute sasa hivi maana kesho saa 10:00 kamili asubuhi anahitaika awe anafundisha. Kwa mawasiliano nichek 0755429928.

Walimu waliopo dodoma tu.
 
Looooh.... Ulivotoa tangazo kwa msisitizo as if unatafuta daktari.....daaaaah..... Ngoja waje wenyewe.... Wanaeza kupuuza wakadhania figisufigisu mkuu coz Uzi...haujajitosheleza labda kabla hujatoa namba za CMU ungetoa maelezo hapahapa kwa kina kma itakua permanent work au vipi?? Na mengine mengi
#ni mtazamo tuu#
 
Yote ni kutoonekana muongo kesho mwanafunzi anakuja saa 10:00 AM ndo maana
 
Dodoma?! Mmh will you manage to pay those qualified and experienced from Dar?
 
Looooh.... Ulivotoa tangazo kwa msisitizo as if unatafuta daktari.....daaaaah..... Ngoja waje wenyewe.... Wanaeza kupuuza wakadhania figisufigisu mkuu coz Uzi...haujajitosheleza labda kabla hujatoa namba za CMU ungetoa maelezo hapahapa kwa kina kma itakua permanent work au vipi?? Na mengine mengi
#ni mtazamo tuu#

kwamba madaktari tu ndo wataalamu hujui walimu ndo wametoa madaktari? tumekufundisha umekua sahivi unadharau eeehhh
 
hujui kuwa mwalimu wa kike akija Kwa dakitari anaweza kuvua nguo zote na akaambulia vidole tu...(Joke)
 
Dodoma kubwa sema ni bahi,mpwapwa,kondoa au dom mjini na kama mjini ni Area c,nkuhungu,makulu au mvua inabidi uwe specific
 
kwamba madaktari tu ndo wataalamu hujui walimu ndo wametoa madaktari? tumekufundisha umekua sahivi unadharau eeehhh
Mkuu samahani sijawadharau walimu...me mwnyewe naenda kusomea ualimu...nimemaanisha umetoa ulazima wa MTU huyo kupatikana kama vile anatakiwa aje aokoe maisha ya mgonjwa anayekaribia kufa...
 
Back
Top Bottom