TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,460
- 5,255
Kwema wana JF .
Mi ni mwanfunzi wa Udsm ualimu wa Mathematics na Physics,
Nilichaguliwa mwaka Jana na bahati mbaya sikufanikiwa pata mkopo mana O lever nili risit mtian hivyo bodi ya mikopo ikatutoa kabisa kwenye mchakato wa kutupa mkopo.
Nafika mbele zenu kuomba Ushauri na maelekezi yatakayo nisaidia pata Shule ya kufundisha hasa private mana nina uwezo mkubwa wa kufundisha Advance mathematics kwan Ualimu ni fani yangu Na somo hilo Advanc nilipata A yake,
pia nafundisha tution moja hapa Dar maarufu kwahyo nina uzoefu wa kutosha...
Nipo tayari ku stop chuo kwa Muda kwan swal la ada lina nisumbua na matumizi yangu