TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,253
- 4,191
Kuna Siku niliomba ushauri wa wapi naeza pata shule au centre ya kufundisha Mathematics au Physics Kwan hapa Dar....
Nimepata vijana wawili wanaitaji somA topics zote za form five so kama nawe una ndugu yako anahitaji soma hivyo nicheki PM tujuzane... Ninaufaulu Mzuri wa Advanced Mathematics na Nina uzoefu mkubwa na bei yangu ni nafuu .....
Niko hapa Udsm
Bodi ya mkopo hawakunifadhili japo nasoma ualimu wa science.. So najua kuomba ufadhili wa kusomeshwa ni ngumu natumia mbinu kama hii ili nikusaidie man unisaidie.....
Pita ushauri wenu waeza nipa wapi naeza pata shule naeza fundisha in time au centre