Mwalimu v/s nesi

Wana JF naombeni ushauri wenu kati ya hawa (mwalimu,nesi) ni yupi anafaa kuoa? & why?

wewe unapenda yupi........................wapo waalimu/wauguzi wengine ni madume nao je.........maana hukusema jinsia ya hao waalimu au manesi.........
 
Bora mwalimu ila nesi na zamu zao za usiku mtakuwa mnapishana tu kurudi nyumbani
 
<br />
<br />
Muda huu naandika hii thread yupo job. Napigwa na barid mbaya mablanket hayanisaidii. We unasema sio issue

tatizo ninololiona hapa ni hasteria. unaposema yuko job ni nani ina maana wote uko nao si busara hata kidogo kufanya umaluuni na mwengine halafu ndo unauliza umuoe au laaaa. nilidhani ndo unatafuta lo! kuwa makini sana.
 
Back
Top Bottom