Mwalimu v/s Mwanafunzi

Mwalimu v/s Mwanafunzi

shakamohd

Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
49
Reaction score
6
Mwalimu: Maandazi matano ukitoa mawili yatabakia mangapi? Mwanafunzi: kama ukinipa na supu halibaki hata moja
 
waalimu nao waangalie mifano ya kutoa sometime ukiwa na njaa mifano kama hii siyo kabisa!
 
Shaka umeniacha hoi mkuu! Teh teh teh.
Sasa sijui mwalimu alimchapa au ndo ilikuwa kama marking scheme hiyo.
 
Back
Top Bottom