Mwalimu ulikataliwa na watu 3000 Unguja utawezaje kuongoza watu zaidi ya 100,000 Kinondoni?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Mwaka 2015 Salum Mwalimu aligombea ubunge pale Unguja kwenye jimbo lenye takribani watu 3000 lakini wakamuona hatoshi. Ndio miye Yohana najiuliza kama Mwalimu pale Unguja hakutosha, je atatosha Kinondoni kweli?!! Ni hilo swali tu, ahsante!
 
Hata Jack M alikataliwa kazi na makampuni mengi ila sasa ndie tajiri namba moja china.

Mbona Lowassa alikubalika na watu zaidi ya laki 8 lakini akakataliwa na mtu mmoja lakini bado watu milion 6 wakamkubali.

Kukataliwa na aina flani ya watu hainaamishi kua hutakubalika tena.
 
Mwaka 2015 Salum Mwalimu aligombea ubunge pale Unguja kwenye jimbo lenye takribani watu 3000 lakini wakamuona hatoshi. Ndio miye Yohana najiuliza kama Mwalimu pale Unguja hakutosha, je atatosha kinondoni kweli?!!. Ni hilo swali tu, ahsante!
Jiwe walilolikataa waashi
 
Mwaka 2015 Salum Mwalimu aligombea ubunge pale Unguja kwenye jimbo lenye takribani watu 3000 lakini wakamuona hatoshi. Ndio miye Yohana najiuliza kama Mwalimu pale Unguja hakutosha, je atatosha kinondoni kweli?!!. Ni hilo swali tu, ahsante!

Wewe unakubalika na wangapi?? Tuanzie hapo
 
Muulize mwenyekiti wa chama chako uchaguzi wa urais alikataliwa na watu wangapi !
Akili matege
 
Mwaka 2015 Salum Mwalimu aligombea ubunge pale Unguja kwenye jimbo lenye takribani watu 3000 lakini wakamuona hatoshi. Ndio miye Yohana najiuliza kama Mwalimu pale Unguja hakutosha, je atatosha kinondoni kweli?!!. Ni hilo swali tu, ahsante!
Anatafuta lawama tu uwezo wake ni mdogo mno nasikia alikuwa mbioni kujitoa chadema makengeza akaona isiwe shida kajimalize mwenyewe
 
Anatafuta lawama tu uwezo wake ni mdogo mno nasikia alikuwa mbioni kujitoa chadema makengeza akaona isiwe shida kajimalize mwenyewe

Hata kama uwezo wake ni mdogo haitakaa awe na uwezo mdogo kama wa baba yake na Jeska Brown na team yake............. alilofanikwia yeye ni oversize ya makoti..... na kusikiliza SHILAWADU. period
 
Back
Top Bottom