Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

Sep 26, 2020
31
23
Naomba anayejua shule inayohitaji mwalimu wa masomo tajwa hapo anisaidie kupata connection basi, naweza fundisha KWA level zote ORDINARY level na ADVANCED level pia.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wapendwa wanajamii forum nadhani mnaweza kunipatia ushirikiano katika kufanikisha hili
Contacts +255754410967
 
Kuna shule wanataka mwalimu wa hesabu ya msingi ipo dar upo tayari?
 
Nahitaji msaada Kama naweza kupata nafasi ya kufundisha hayo masomo kwa ORDINARY level na ADVANCED level Katika mkoa wa DAR ES SALAAM.

Naomba ushirikiano wenu Wana JF kwa yeyote atakayekuwa anajua shule yenye uhitaji wa mwalimu wa hayo masomo.

Mawasiliano +255754410967.
 
Nahitaji msaada Kama naweza kupata nafasi ya kufundisha hayo masomo kwa ORDINARY level na ADVANCED level Katika mkoa wa DAR ES SALAAM
Naomba ushirikiano wenu Wana JF kwa yeyote atakayekuwa anajua shule yenye uhitaji wa mwalimu wa hayo masomo
Mawasiliano +255754410967
Kwanini usipeleke barua mashuleni
 
Ukishaweka Masomo matatu unaonekana mbabaishaji,chuo Ulisoma matatu? Unachukulia combination yako ya Advance ndio unataka uifundishe?
Kwa mfano Ulisoma PCB halafu chuo Ukasoma CB, halafu ukapewa physics advance utafundisha nini
 
Inawezekana kwa wachache akaonekana mbabaishaji lkn kwa shule makini akaonekana yupo straight. Hayo ndiyo masomo anayoyamudu the best. Hawezi kwakuwa alisoma zaidi ya hayo kisha akaweka history harafu akapangiwa akawa anayumba
 
Sio mwalimu huyo
 
Ukiona nimeweka hivo ujue naiweza hiyo Mambo mkuu
 
Ndio mkuu hayo ndo masomo yangu interested from o level up to now, so nayajua vyema kabisa
 
Ukiona nimeweka hivo ujue naiweza hiyo Mambo mkuu
Kuiweza maana yake nn? Nachosema huna profession ya kufundisha Masomo matatu.Au transcript yako inaonesha Masomo yote hayo? Labda hukusoma Vyuo vya TZ.

Nikuhakikishie Hakuna shule serious itakuajiri ufundishe somo ambalo umelisoma tu advance.
Halafu Jambo Usilojua Ukienda shule yoyote ile ukasema unaweza kufundisha Masomo matatu wanajua tu wewe una njaa na cha moto utakiona.
 
Upo sahihi mkuu na nimekuelewa vema kabisa, nitafundisha 2 subject as per employee selection, hata Kama chuo nimesomea 2 lakini hio hainizuii competence yangu kwenye somo lingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom