Mwalimu Nyerere University ndio kikoje

Mwalimu Nyerere University ndio kikoje

..Hakina umbo Maalum,sijui kitakuwa cha Duara sa Hizi Maana Jana kilikua Box
 
Chuo n kizuri sana na mazngira ni mazuri mno kwa kujisomea viti vya kutosha maana hata wanafunzi wa ifm wkiend huwa wanaingia mle kujisomea
 
Nijuavyo mimi ni Chuo kipo Butiama kitakuwa kozi za kilimo pia na ualimu,hii ilikuwa ni Secondary ya Advance ya Osward Mang'ombe,kuna majengo mazuri na bora kabisa nadhani wanafunzi wote watakaochaguliwa hapo watapata Hostel wote
 
Mwalimu Nyerere Memorial Academy-Kingamboni
Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology-Butiama
hivi ni kweli pale mwl. nyerere kuna certificate ya ualimu wa primary?
Sidhani ila najua ni tawi la udsm kama ilivyo duce na muce
 
Kipindi hiko iliitwa hivyo ila siku hizi inaitwa Diploma in Primary Education ipo pale pia
 
Wakuu nimesoma comment zenu lakini nadhani waliowengi kuna ukweli hawajaugusa juu ya chuo hiki.Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere MNMA sio tawi la UDSM kama wengi walivyochangia.Chuo hiki kinajitegemea kiuebdeshaji.Kitu kimoja tu ambacho kinahusisha vyuo hivi viwili yaani UDSM Na MNMA ni kushirikiana wahadhili.Mwalimu nyerere memorial academy mwanzoni kuliitwa chuo cha kivukoni tangu mwaka 1954 hadi kilipobadilishwa jina Na kuitwa Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere.Kipo kigamboni.kinachukuwa wanafunzi wa cheti kwa masomo mbalimbali ikiwemo hiyo koz ya ualimu was shule ya msingi ambapo mwaka huu wa masomo 2016/17 ndo imeanzishwa hapo.pia kuna stashahada Na shahada.kuhusu hosteli ni kwamba zilizopo chuoni hazitoshi Na wengi hulazimika kupanga mageto au hostel za nje maeneo ya kigamboni,machava,kwa urasa nk.Mimi mwenyewe ni mwanachuo hicho kwa sasa.Karibuni sana.pia mkumbuke kuwa chuo hiki kina tawi lingine Zanzibar.Asante.
 
Asante kk kwani hata mimi nimechaguliwa hapo ualimu
 
Back
Top Bottom