jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Kikoje hiki chuo nimekiona sehemu ila sijakielewa ,kama kiko poa nataka nipeleke mtu akasome huko
Hahaha kampa kampa tena [emoji2] [emoji2] [emoji2]Google.
[emoji3] [emoji3] msaada rahis kabsaGoogle.
Ndicho kinachoonekaammh sasa aki Google si ataona gholofa na bahar kwa pembeni[emoji86]
acha uongo sema unataka uende mwenyeweKikoje hiki chuo nimekiona sehemu ila sijakielewa ,kama kiko poa nataka nipeleke mtu akasome huko
Nikisema naenda mimi unajibu?acha ukuda sema unataka uende mwenyewe
Tawi la Udsm hilo
Kwenye gamba lako unaandikiwa umehitimu udsm
Chuo ni kizuri tu kipo kigamboni
Veep kuhusu hosteli & msosi coz kuna dogo kachaguliwa ualimu wa primaryTawi la Udsm hilo
Kwenye gamba lako unaandikiwa umehitimu udsm
Chuo ni kizuri tu kipo kigamboni
Hostel zipo za ndani na za njeVeep kuhusu hosteli & msosi coz kuna dogo kachaguliwa ualimu wa primary
Makavu live[emoji1] [emoji1] [emoji1]acha uongo sema unataka uende mwenyewe
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhan kama hii n kwelTawi la Udsm hilo
Kwenye gamba lako unaandikiwa umehitimu udsm
Chuo ni kizuri tu kipo kigamboni