Mwalimu Nyerere na mama yake

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,907
Reaction score
6,467
Bibi Mgaya ndiye alikuwa mama yake Mwalimu Nyerere, na mara nyingi alikuwa anaongea naye.
Na sisi familia, kwa kweli hatufahamu kizanaki. Na mimi hata leo Wazanaki wanaweza kuongea hapa mbele yangu nisijue wanaongea nini

Na hili jambo lilikuwa linamshangaza Mwalimu. Anasema," Hawa watoto kweli ndio wa Tanzania ya leo. Yaani hata Kizanaki hawajui.

Lakini ingawa hatujui Kizanaki ilikuwa tunaelewa Bibi Mgaya anaongea nini. Bibi Mgaya alikuwa anamgombeza Mwalimu ( " kugombeza",nadhani ndio the correct word here). Anamwambia, "Tatizo lako huna foresight. Huwezi kufikiri kwamba nikifanya hivi, matokeo yatakuwa haya."

Kwa hiyo ataongea namna hii, maybe for half an hour, Mwalimu amesimama, anasikiliza attentively.

Mara nyingi, countless times, tumemsikia Bibi Mgaya anamwambia Mwalimu "Kwa nini huna foresight katika maamuzi yako?"

The reason why I say this ni kwa sababu nimefika juzi kutoka Butiama, na naona kwamba mimi pia sina foresight katika mambo ninayosema na kufanya. I ask myself why is this so?

Au ni kwa sababu I forgot to take the massive rock crystal.

Yes, dear reader, I have this massive rock crystal, katika pilika pilika za safari,I forgot it there.
Crystal, ni kama divining stone.

I am sure you have noticed, wapo " manabii" wengi sana. Wanasema,"Mwezi ujao balaa itatokea." I think you have noticed kwamba 99.9 per cent of the time,they are just speaking lies. It is because they don't have a crystal ball. Nawashauri watafute crystal ( ulanga) .

Na Ile crystal sijui niliisahau vipi. Na kama niliisahau, Ina maana nikienda nitaikuta ipo pale.
 
Xxxxxxx unbelievable.
Mlinzi SASA HIVI ananiita getini. Anasema anataka kuni- arrest.
No kidding.
Anasema mimi ni anti- social. I must be arrested RIGHT NOW.
There is no understanding kwamba destinies za watu zipo pale pale kwenye birth horoscope.

Wanakunywa pombe halafu wanajiuliza" Yule nimdhuru au nisimdhuru.?"
 
Asante kwa simulizi hii ya Bibi Mugaya, haya ndio mambo mimi ninayomtafutia Madaraka, to preserve some rhetorics za Mwalimu za simulizi ziwe digitized for preservation kwa vizazi vijavyo.

It's good to know watoto wa Mwalimu ,baba na mama ni kabila moja halafu bado watoto hawajui kuongea kiluga chao!.

P
 
Next time when you forget your defining crystal, don't worry, tafuta tuu punje mbili tatu za chumvi ya mawe, weka mfukoni utakuwa OK.

P
 
Kwahiyo wanataka wakupeleke wapi wakisha naku arrest?
 
Cheki na Yeriko Nyerere pia anaweza kukupa vitu adhimu 😅
 
Huyu ni ANDREW NYERERE.
 
Uandishi wake ni wa Andrew.
 
It is strange.
Huyu mlinzi anayeniambia,"We,njoo hapa upate fundisho,njoo hapa sasa hivi upate fundisho ,Kwa nini unaogopa,njoo hapa,kama we mbabe. Njoo hapa nikupe fundisho.

Huyu mlinzi anayezungumza hivyo anazo one BILLION shillings kwenye bank account yake.
Unaelewa sasa kwa nini hawa watu wanashtakiwa ICC.
Ni watu wa ovyo .
Na sasa hivi hakuna haja ya kuuliza yuko wapi.
Kwa sababu yuko benki ana cash hela zake. Leo kapata bingo.

Kwa sababu huyu ni mtu ambaye kila baada ya miezi mitatu anashinda bahati nasibu ya taifa
 
Kuwa na One Billion Shillings huwezi shtakiwa ICC.

Tuna mahakama za mafisadi hapa Tanzania.

Na atashtakiwa kama kweli kuna kosa kafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…